HUYU NDIE KIUMBE HATARI ZAIDI DUNIANI
Huyu ndie. Mbabe wa Nyika
na Chaka lakini Asiyevuma. Huenda ukiambiwa utaje wanyama hatari zaidi duniani
utaanza na simba ama chui kwa haraka
lakini ukweli ni kuwa Nyegere ama Honey badger ni miongoni mwa wanyama hatari
zaidi duniani, kwa tarifa zenye uhakika ni kuwa hata nyoka, chui na simba hufyata
kwa Nyegere ..............
1. Nyegere ndio mmoja kati ya wanyama wasioogopa kitu chochote duniani, huweza kuwakabili Simba na Chui zaidi ya mmoja na kuwashinda. Vile vile hategemei wenzake (uwingi wao) kwakua Njegere ni mmoja wa wanyama wanaotembea kivyake wakati wote isipokuwa wakati wa kupandana tu.
2. Nyegere ana gozi gumu zaidi kuliko wanyama wote wa mwituni kiasi ambacho ni ngumu sana kumuua kwa mshale au hata panga, Vile vile gozi la mnyama huyu linafanya sindano nyembamba ya nyuki kudunda... katika mapambano .anasaidiw a
na kucha zake, ndefu na ngumu, kama haitoshi awapo katika hatari ya
kushambuliwa ngozi yake huwa ngumu na kukakamaa zaidi ("defensive
mechanism).
3. Nyegere hula vyote iwe nyama iwe majani na hii imemfanya kustahili shuruba za mazingira yote iwe nyikani ama mwituni. Chakula chake kikubwa ni asali.
4. Nyegere hula nyoka wa aina yoyote kwakua pia ana sumu kali ambayo akimng'ata nyoka wa aina yoyote haponi ingawa wapo nyoka wenye sumu ambao Nyegere akiwala anaweza kuzimia kwa masaa kadhaa kutokana na ukali wa sumu ambayo inakuua wewe kwa dakika tu.
5. Utafiti unathibitisha kuwa mnyama huyu ana meno na taya ngumu na kali sana kiasi cha kuvunja na kutafuna gamba la kobe kiurahisi.
1. Nyegere ndio mmoja kati ya wanyama wasioogopa kitu chochote duniani, huweza kuwakabili Simba na Chui zaidi ya mmoja na kuwashinda. Vile vile hategemei wenzake (uwingi wao) kwakua Njegere ni mmoja wa wanyama wanaotembea kivyake wakati wote isipokuwa wakati wa kupandana tu.
2. Nyegere ana gozi gumu zaidi kuliko wanyama wote wa mwituni kiasi ambacho ni ngumu sana kumuua kwa mshale au hata panga, Vile vile gozi la mnyama huyu linafanya sindano nyembamba ya nyuki kudunda... katika mapambano .anasaidiw
3. Nyegere hula vyote iwe nyama iwe majani na hii imemfanya kustahili shuruba za mazingira yote iwe nyikani ama mwituni. Chakula chake kikubwa ni asali.
4. Nyegere hula nyoka wa aina yoyote kwakua pia ana sumu kali ambayo akimng'ata nyoka wa aina yoyote haponi ingawa wapo nyoka wenye sumu ambao Nyegere akiwala anaweza kuzimia kwa masaa kadhaa kutokana na ukali wa sumu ambayo inakuua wewe kwa dakika tu.
5. Utafiti unathibitisha kuwa mnyama huyu ana meno na taya ngumu na kali sana kiasi cha kuvunja na kutafuna gamba la kobe kiurahisi.
MEET THE
WORLD'S MOST FEARLESS CREATURE
>It’s true that the honey badger has the Guinness Book of World Records title of "World's Most Fearless Creature,"
>THEY’LL EAT ANYTHING. Seriously, anything and everything. They’re omnivores who will go after mammals, birds, reptiles, insects, larvae, plants, fruit, eggs, and roots.
> The honey badger may even have a resistance to snake venom and is sometimes able to sleep off a bite.
> Honey Badgers have powerful jaws and sharp teeth, which powerful enough to crush tortoise's shell.
> Honey Badgers also have very tough skin. The skin is very thick and rubbery, which almost impervious to arrow and spears. Even a blow from machete can't scratch the skin. The skin protect them from bites.