SHUJAA WA AFRICA BLOG

Monday, February 7, 2022

Senegal vinara wapya wa Afcon 2022

hatimaye timu ya taifa ya senegal imefanikiwa kuutwaa ubingwa wa afcon kwa kuwatoa misri kwa mikwaju ya penati.