Yanga 2 - 0 Azam
Maabingwa watetezi Yanga Sc wameendeleza ubabe kwa kuichapa azam fc mabao 2-0 katika mchezo wa nusu fainali ya ngao ya jamii iliyofanyika uwanja wa CCM Mkwakwani katika jiji la Tanga. Magoli ya yanga yalifungwa na Stephene azizi ki dakika ya 85 na bao la pili likiwekwa kambani na Clement mzize dakika ya 89
Kwa ushindi huo yanga inasubiri kukutana na mshindi kati ya simba sc ama singida FG utakaopigwa kesho tarehe 9 aug 2023
No comments:
Post a Comment