Posts

Ngao ya jamii 2023.

Hatimae timu ya azam.fc imefanikiwa kuifunga timu ya singida big stars  Mabao 2 - 0 kwenye mchezo wa ngao ya jamii wa kutafuta mshindi wa tatu. Kwa matokeo hayo timu ya azam fc imefanikiwa kukamata nafasi ya tatu huku singida big stars wakikubali kushika mkia. Wakati huo mchezo wa fainali ya ngao ya jamii utachezwa leo ifikapo saa moja kamili za usiku (aug 13/2023) #Ligi_kuu_tanzania_bara

NANI KURITHI MIKOBA YA NABI YANGA?

Senegal vinara wapya wa Afcon 2022

FAIDA ZA UBUYU

NDEGE YA RAISI

WABONDEI

RIWAYA YA NDEGE YA RAISI Ep 2

NDEGE YA RAISI Ep1